Muhtasari wa Ruthu

I. Ruthu akiamua 1:1-22
A. Mazingira: ugeni katika Moabu katika
siku za waamuzi 1:1-5
B. Kurudi Bethlehemu 1:6-22

II. Ruthu akitumikia 2:1-23
A. Wema wa Boazi kwa Ruthu 2:1-17
B. Kujali kwa Naomi 2:18-23

III. Ruthu akipumzika 3:1-18
A. Mpango wa Naomi na mafanikio yake 3:1-15
B. Shauri zaidi la Naomi 3:16-18

IV. Zawadi ya Ruthu 4:1-22
A. Boazi, jamaa mkombozi 4:1-12
B. Ndoa ya Ruthu na Boazi 4:13-16
C. Uzao wa Ruthu na Boazi 4:17-22