Muhtasari wa Yuda
I. Salamu 1-2
II. Sababu ya kuandika 3-4
III. Maelezo na maonyo kuhusu
walimu wa uongo, imani na matendo 5-16
IV. Mawaidha ya kuepuka makosa na kubaki
kweli kwa Kristo 17-23
V. Doksolojia: Utukufu kwa Mungu kupitia Yesu
Kristo 24-25