Muhtasari wa Hosea

I. Utangulizi wa unabii 1:1

II. Mjumbe wa unabii 1:2-3:5
A. Ndoa yake na Gomeri 1:2-3a
B. Watoto wake kwa Gomeri 1:3b-11
C. Mabishano yake: tatizo na Gomeri 2:1-23
D. Utunzaji wake kwa Gomeri 3:1-5

III. Ujumbe wa unabii 4:1-14:8
A. Kuhusu kuadhibiwa kwa Israeli 4:1-7:16
B. Kuhusu kisasi cha Israeli 8:1-13:16
C. Kuhusu urejesho wa Israeli 14:1-8

IV. Hitimisho la unabii 14:9