Muhtasari wa Habakuki

I. Mazungumzo ya nabii na Bwana 1:1-2:20
A. Mzunguko wa kwanza 1:1-11
1. Swali la nabii 1:1-4
2. Jibu la Bwana 1:5-11
B. Mzunguko wa pili 1:12-2:20
1. Swali la nabii 1:12-17
2. Jibu la Bwana 2:1-20

II. Unyenyekevu wa nabii kwa Bwana 3:1-19
A. Maombi yake kwa Mungu 3:1-2
B. Sifa zake kwa Mungu 3:3-15
C. Imani yake kwa Mungu 3:16-19