Muhtasari wa II Wathesalonike

I. Salamu 1:1-2

II. Kutia moyo kibinafsi 1:3-12
A. Ushuhuda wa Wathesalonike 1:1-4
B. Kusudi la Mungu 1:5
C. Kuja kwa Bwana 1:6-10
D. Maombi ya Paulo 1:11-12

III. Marekebisho ya mafundisho ya
Wathesalonike 2:1-17
A. Kuhusu kutoelewa kwao 2:1-2
B. Kuhusu ukengeufu 2:3a
C. Kuhusu mtu wa dhambi 2:3b-5
D. Kuhusu kizuizi 2:6-9
E. Kuhusu wasioamini 2:10-12
F. Kuhusu waumini 2:13-17

IV. Mawaidha ya vitendo 3:1-15
A. Maombi ya Paulo 3:1-2
B. Kujiamini katika Bwana 3:2-5
C. Nidhamu ya wasiotii 3:6-15

V. Baraka 3:16-18