Muhtasari wa I Timotheo

I. Dibaji 1:1-2

II. Kanisa la Mungu 1:3-3:16
A. Mafundisho yake 1:3-20
B. Ibada yake 2:1-15
C. Uongozi wake 3:1-16

III. Huduma ya mchungaji 4:1-6:19
A. Kutembea kwake 4:1-16
B. Kazi yake 5:1-6:19

IV. Maneno ya mwisho 6:20-21