Muhtasari wa I Petro

I. Utangulizi 1:1-2

II. Hatima ya Mkristo: wokovu 1:3-2:10
A. Mpango wa wokovu--wa kwanza
sehemu ya mafundisho 1:3-12
B. Mazao ya wokovu 1:13-25
C. Kusudi la wokovu 2:1-10

III. Wajibu wa Mkristo: kutii 2:11-3:12
A. Mzizi wa kutii--maisha ya kumcha Mungu 2:11-12
B. Maeneo ya kutii 2:13-3:12

IV. Adhabu ya Mkristo: mateso 3:13-5:11
A. Kuteseka kama raia 3:13-4:6
B. Kuteseka kama mtakatifu 4:7-19
C. Kuteseka kama mchungaji 5:1-4
D. Kuteseka kama askari 5:5-11

V. Hitimisho 5:12-14