Muhtasari wa I Mambo ya Nyakati

I. Nasaba kutoka kwa Adamu hadi Daudi 1:1-9:44

II. Historia ya Mfalme Daudi 10:1-29:30
A. Kifo cha Sauli 10:1-14
B. Kuinuka kwa Daudi kwa mamlaka 11:1-12:40
C. Daudi na sanduku la agano 13:1-16:43
D. Matukio ya utawala wa Daudi 17:1-22:1
E. Maandalizi ya Daudi kwa hekalu 22:2-29:30